المدة الزمنية 10:17

LIVE: KUFURU ya IRENE UWOYA, AMWAGA PESA kama ZOTE kwa DIDA na MUMEWE..

بواسطة Global TV Online
39 801 مشاهدة
0
188
تم نشره في 2021/06/26

🔴#LIVE: KUFURU ya IRENE UWOYA, AMWAGA PESA kama ZOTE kwa DIDA na MUMEWE.. USIKU wa Juni 25, mtangazaji Dida na mumewe Omary Kumbilamoto, wamefanya sherehe ya ndoa yao katika ukumbi wa Mlimani City ambayo imehudhuriwa na mastaa wengi akiwemo Irene Uwoya.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 46
  • @
    @sebastianfesto8777منذ 3 سنوات Kwani Kuna watu wanateseka Kuona pesa inatunzwa 3
  • @
    @catherinemasiga6666منذ 3 سنوات Maisha ya kihalisia na ya Esma sio vema ujilazimishe pale Unapojua huwezi. Safe Sana 3
  • @
    @abdulaisha4145منذ 3 سنوات Sasa kama zawadi Kwa nn usimpe mkononi unawaogesha na pesa 1
  • @
    @mwajumahamisi2006منذ 3 سنوات ‍♀️‍♀️‍♀️‍♀️‍♀️‍♀️ Nilikuw napit tu mm esma kuna maish ya kesho cyo kwa mavaz hayo 2
  • @
    @anneafrica939منذ 3 سنوات Makufuru ya hivyo mtasikia mchezo umeisha huo uchawi munajiroga nyie watu somo amkulipata la harusi ya Esma. 1
  • @
    @minakhamiskhamisi6193منذ 3 سنوات Yn pesa zitatupelek moton ndgu zangu sio sir Sina wivu n Wal sio nn tusem ukweli jmn hay tuache jmn kuna kesho jmn 3
  • @
    @mohammedabdala7526منذ 3 سنوات mayatima wapo wamasikini wapo unaweza kwenda ukaongeza ujenzi kwenye kanisa au mskiti
  • @
    @azzamahamdu7039منذ 3 سنوات Irene tall lady,boss lady.ila Irene haya bana hana pesa afu lete pochi.hata pochi haibebwibora esma kaaza kujitetea yy anausika na biashara ndogondgoesma kapagawa anaongea vtu haviusu hapo.sasa nan hakujui..SIFA ZTAWAUA WABONGO. ....وسعت 1
  • @
    @bighead8184منذ 3 سنوات Pesa wanatoa kwa wenyewe ni uongo, maonyesho. Mbona hamupeleki kwa maskini mkazirusha kama hivyo.
  • @
    @evasadala4409منذ 3 سنوات Hawa ni vikundi humteua mtu wa kutunza
  • @
    @agnesayub1065منذ 3 سنوات Tabia ya kutunza pesa kwa namna hii sio nzuri. Its showing off amd most likely sio hela ya jasho lake. Maharusi na ndugu waliweka chombo cha kutoa mchango kistaarabu. 1
  • @
    @iradukundamike5370منذ 3 سنوات Bira haya unatowa salam namatako yote inje we esma 1
  • @
    @happinessmwenda2773منذ 3 سنوات TUSISAHAU KUJENGA NYUMBA HIVI VINAPITA. 2
  • @
    @ayshah.8123منذ 3 سنوات Kunawa watu wanahitaji hiyo pesa kama watoto zeruzeru wanahitaji miwani nguo chakula na vifaa vyashule pia ulinzi kuliko kumwaga pesa hivyo hamujuwi kama munakufuru mungu 1
  • @
    @ayshah.8123منذ 3 سنوات Siwezi kumaliza kuangalia ujinga huu sikujuwa kama ikikuwa hivyo bongo 1
  • @
    @mwinyikadhi2870منذ 3 سنوات Ujinga huu Jpm alikua haitaki na ulikua haupo kabsaa..lkn tokea huyo mwamba afariki upuuzi huu unajirudia tena 2
  • @
    @azzamahamdu7039منذ 3 سنوات Irene tall lady,boss lady.ila Irene haya bana hana pesa afu lete pochi.hata pochi haibebwibora esma kaaza kujitetea yy anausika na biashara ndogondgoesma kapagawa anaongea vtu haviusu hapo.sasa nan hakujui..SIFA ZTAWAUA WABONGO. ....وسعت 1
  • @
    @azzamahamdu7039منذ 3 سنوات Irene tall lady,boss lady.ila Irene haya bana hana pesa afu lete pochi.hata pochi haibebwibora esma kaaza kujitetea yy anausika na biashara ndogondgoesma kapagawa anaongea vtu haviusu hapo.sasa nan hakujui..SIFA ZTAWAUA WABONGO. ....وسعت 1