المدة الزمنية 7:54

CHOZI LA MZEE HUYU MBELE YA WAZIRI JAFO, SABABU YA MKURUGENZI KUWEKWA NDANI MMEDANGANYA RAIS

بواسطة Millard Ayo
124 588 مشاهدة
0
603
تم نشره في 2021/01/06

John Mongella ameamuru kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Boniphac Magesa na Afisa ardhi wa Wilaya hiyo kwa kosa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwa Mkuu huyo wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya wa Sengerema, Hatua hiyo imekuja baada ya Waziri Jafo kusikiliza kilio cha Mzee Christopher aliedhurumiwa fedha za malipo ya fidia ya kiwanja chake

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 270