المدة الزمنية 10:00

Umuhimu wa kunywa maji na faida zake. Na Kuondoa harufu mbaya mwilini, kuwa na afya nzuri.

بواسطة Bariki Karoli
2 862 مشاهدة
0
88
تم نشره في 2020/06/06

Karibuni tena wapenzi kwenye video nyingine Leo tunaongelea umuhimu wa kunywa maji na faida zake Kama wewe ni mvivu wa kunywa maji angalia hii video itakusaidia 😘 Binadamu tunahitaji maji ili viungo vyetu viweze kufanya kazi vizuri na kuepukana na magonjwa na hapa na pale Video ya maji ya mchele kukuza nywele 👇🏽👇🏽 /watch/oaiLvOrPwkXPL Video ya face mask Nzuri kwa ngozi 👇🏽 /watch/ERmyAnGzImVzy Video ya kwanini hauwezi kupunguza unene👇🏽 /watch/MWvm8V02NrI2m Unaweza kunipata kwa Instagram: bariki. K Email adress for sponsorship or business: bariki.karoli@gmail.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 42