المدة الزمنية 4:20

LISSU ALIVYOKUTANA NA MEMBE, ZITTO MKUTANO MKUU ACT WAZALENDO

بواسطة Mwananchi Digital
48 931 مشاهدة
0
217
تم نشره في 2020/08/05

Hivi ndivyo mkutano wa Chama cha ACT Wazalendo unavyoendelea leo Agosti 05, 2020 jijini Dar es Salaam. Mkutano huu unatarajia kuwa na ajenda kadhaa ambapo moja ya ajenda zake ni kuidhinisha, kuwapigia kura wagombea wateule wa nafasi ya Urais Tanzania bara na Zanzibar.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 108