المدة الزمنية 33:00

LIVE: MAJIBU ya HALIMA MDEE Kuhusu HATMA YAO CHADEMA

بواسطة Global TV Online
243 640 مشاهدة
0
771
تم نشره في 2020/12/01

🔴#LIVE: MAJIBU ya HALIMA MDEE Kuhusu HATMA YAO CHADEMA... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 772
  • @
    @justinakaronge52704 years ago Dada mpendwa tunakupenda Sana,lkn huwezi amini umetutoa imani huo ndoukweli 18
  • @
    @revocatusedward57394 years ago WAAAAAAAAH, YAANI SASA HIVI KUNA CHADEMA YA MBOWE NA CHADEMA YA WANAWAKE WANAOJITAMBUA 11
  • @
    @thabitmohamed87444 years ago Rudini kwenye uongozi mkae pamoja mulimalize hili muendeleze chama chenu hizo social media hazitakusaidieni kitu 24
  • @
    @jumakapilima56744 years ago Hongera Kiria, kwa hoja yenye mashiko!!!! 2
  • @
    @elizabethebambo94754 years ago Nani kasikia Jocye Kiriya hajui kuuliza swali like 3
  • @
    @malatashiyotv18414 years ago Jibu zuri sana halima, sababu za jinsia sasa nazani wale waki za wanawake mtafunga mdomo 11
  • @
    @mdungially23424 years ago Kama kuna aliemuona budgad kule nyuma akipiga makofi na yy hem anipe like yke, mm cjawah ona bodgad akashangiria 29
  • @
    @tsaonethapelo63734 years ago Chadema haiwezi kuwafukuza hawa wanawake na kuna kiongizi ndani ya chamema aliyefanya mchakato wa hawa wabunge kuapa kitakachofanyika ni masharti magumu kuhusu ruzuku zao labda wakatae kuhusu ruzuku ndiyo watafukuzwa mtaniambia siku watanzania wenzangu ... 5
  • @
    @godloveadamu43794 years ago Ninaamini kiundani sana kitokacho kinywani mwako kiko sahihi kabisa,hongera sana. 3
  • @
    @mako3314 years ago I love your confidence Halima, nitafutieni mwanamke wa kipare sasa 3
  • @
    @deisdediterkomba63694 years ago Nakukubali sana mshikaji wangu mh Halima Mdee
  • @
    @thejordanband15164 years ago Muheshimiwa Gwajima ameleta tetemeko la Chadema Wanawake wote kabisaaaaa sauti ziko juu wameongeza volume.. 3
  • @
    @mutrahjr28594 years ago sio mshabiki wa siasa .. ila kama kweli waliona uchaguzi haukua wa haki na ulikua feki .. na walilalamika wameibiwa kura .. leo hii inakuaje wanakubali kujiunga na hio serikali wanayosema imewaibia kura 8
  • @
    @mekajamtv96034 years ago Leo mtapuuzwa ila kuna siku mtapongezwa,kilichokuwepo ndan ya chama mnakifahamu ndiyo maana maamuzi yenu yanaeshimika kwa wanaopenda maendeleo ya nchi yetu❤❤❤ 10
  • @
    @kapasimoses984 years ago Halima mdee na wezako na wapa Hongera sana kumbe wanawake mnaweza kazana wala musiogope hata kidogo 14
  • @
    @mnegaamina60854 years ago Mtoto wakike nakuamini kichwa chwako ni nyundo au msumeno uko vizuri najua wanashindwa kupumua huko walipo
  • @
    @helencyprian60444 years ago Ombeni radhi tu ni jambo la hekima sana na maisha yaendelee 5
  • @
    @majiniuhaimnu91504 years ago Kama hujib maswal ya mcng Kama ninan aliwatuma kwenda bungen sawasawa na kwamba hunania ya kujib maswal yetu unatuchanganya tu 11
  • @
    @fatumaali71934 years ago Usijisikie sana mdee CCM haina haja na wewe. Usichukulie utetezi ni kukutaka! 16
  • @
    @ziadasadiki81964 years ago Halima Mdee uko vyema, Wanawake hakuna Chama Pamoja Bungeni Hakuna kususa Nendeni Bungeni Kwa ajili ya Taifa . Hivi mkikaa pembeni mnamsusia nani Kikwete alitutetea tuwe Viongozi, MBOWE mfumo DUME. Mdee na wenzako Pamoja sana MUNGU WABARIKI WANAWAKE 👏❤ ...
  • @
    @matlesimon13574 years ago Mdee hujambo,ulikuwa unatukana sana CCM je leo CHADEMA wakikutukana unajisikiaje ipi chama bora 4
  • @
    @khamisjuma50464 years ago Jenelal.mbowe tuwa.samehe dada zetu.wa Tanzania happened the world 1
  • @
    @salmaathuman91564 years ago Ccm oyeeee daima mbele kwa mbele tunahitaji kiongozi ajae 2025,awe zaidi ya magufuli😁💪 15
  • @
    @kingdavid19244 years ago Pigeni kazi wanawake! wanalalama kwa sababu hawajapata hizo chance. 24
  • @
    @elisanteabraham32494 years ago Halima uko vizuri Una uwezo wa kuwakilisha wanawake wenzio. Njoo CCM wasikunyanyase hao
  • @
    @ayubumollel67224 years ago Acha kujibu maswal kihuni ww, una jipya ww tena uxhapoteza imani kwa watanzania, wenye kuitaji mabadiliko 11
  • @
    @anthonymsofemsofe96464 years ago Halima unajua Sanaa kunena kwa hatua nimekupenda bureeed dada kamanda wangu people's
  • @
    @deusnzelan84134 years ago Hawa lazima watarudi Chadema sababu kati yao wapo watumishi wa Mungu nawajua na wanajua kabisa kile yuda alikifanya kwa BWANA YESU na matokeo yaliyompata yuda nawajua Sana rudini kundini watumishi wa Mungu
  • @
    @dausonmlay18304 years ago Mnaangalia tu masilahi yenu, ndo msha fukuzwa uwanachama wanafi kweli, mnakera sana 10
  • @
    @gracechriss39284 years ago peleka bangi huko juzi ulikuwa unalia umeibiwa kura leo umekuwa mbunge ,,, hahahahaha siamini kama ww umekuwa msaliti mkbwa jamni 9
  • @
    @nassoralinassor16984 years ago Hatususii nchi tutaitetea vipi mkifunga mdomo nakupa salut halima kaza buti 20
  • @
    @samsonzacharia23294 years ago Mm nahc huruma kwa vyama vya upinzani.
    Huy mama cjui ni mschana Halima Mdee, ana wakati mgumu. Kwa ajl ya mfumo wa vyama hcka. Na wanatamani ulaj
    1
  • @
    @restutarweyemamu23444 years ago Kama umemuelewa Halima kuna kitu atakisema baada ya kukata rufaa hawezi kukisema muda huu kisheria gonga like. 8
  • @
    @nyagawanyagawa28294 years ago Dada zangu wapimnayumba lakini! Kotemlikotoka Leo mfanyemliyofanya hayo? 6
  • @
    @neemachriss26054 years ago Mimi ni ccm damu lkn kwa jibu hili la mdee ya kuwa 2010 hawakukubali na vit maalum walienda'2015 hivyohivyo
    hii ni kweli kwamba kwakuwa hawa wanaume hawajaingia bungeni ndio wanataka kuwakandamiza wanawake
    endeleeni kupambana naamini ukweli utajulikana na mtakuwa ok kwa uwezo wa Allah'Nimewapenda
    ...
  • @
    @alexkalonga36324 years ago Ili picha la ukweli Sana Ni bonge la Muvi linaitwa Expendables" 35
  • @
    @mwitasamwel4094 years ago Nimekuelewa sanaaaa Halima mjengoni ni lazma na ndo mafanikio
  • @
    @walidiibrahim55464 years ago Mimi kwa maelezo ya halima na jinsi walivovaa kombati za chama naomba wasamehewe Hadi nimewaonea huruma 3
  • @
    @samweltangasi47494 years ago Kuweni na msimamo chama kitawasikiliza tu tunawaomba msituangushe ccm watatuzomea sana tunashidakubwa cc wafuasi wenu 3
  • @
    @mdungially23424 years ago Sasa inakuaje usjibu ayo maswali na watu wanataka kuyatambua au unasubir mpk muhakikishe kua hamtakiwi kihakililah ndio uje utoe ya moyon maana nna uhakika unayo madudu mengi yanayofanyika ndan ya chama kwa sababu tushaanza kuyaskia kutolewa nje ... 2
  • @
    @michaeljbkubugu73314 years ago Halima mlikosea sana kujiamlia omben msamaha
  • @
    @sarahwalles26074 years ago Yaan umejialibia hata chaguzi zijazo jimbo la kawe hata akisimamishwa mgombea wa chama cha chauma anabeba bila kuiba kura maana umeshapoteza sifa zako kbs 10
  • @
    @umulithokyarema64914 years ago Kusema kweli Halima Mdee ni jembe ila ukirekebisha tofauti chache za kuchanganya sheria na maadili mambo mwakeee
  • @
    @justinakaronge52704 years ago Mungu anakuona Halima,uhodari na umahiri wako ulituamisha Sana kwenye Demokrasia
  • @
    @kevinludovick85064 years ago Joyce kiria hakutegemea hilo jibu alitaka kuwa kama yuke mwanaharakati mropokagi, “Tumekuwa wanawake wa shoka na huu ukamanda wetu ni kwaajili ya chadema”...... mwisho wa kunukuu 1
  • @
    @reubenismail36724 years ago Mmetukwaza Sana!Bora niludi tu nyumbani kumenoga kumbe ndivyo mlivyo jamani! 2
  • @
    @elizabethebambo94754 years ago Muwe wakimbizi wa chama mwende ubalozi wa act wazalendo uwasindikize kwa cc🏃🏃🏃🏃 3
  • @
    @pascalhoza62974 years ago Halina upo vizuri Sana wapashe nao wababaishaji shida yao kubwa wamekosa ubunge .
  • @
    @jemamahenge72054 years ago Umetusaliti mdee hatna imani na ww tena tuluku
  • @
    @sankofaman41124 years ago Duh! Chama cha kambare. Mke ndevu, mume ndevu. 11
  • @
    @poizonboy1794 years ago Halima nilikuelewa Sana ila Daaaa kaombe Radhi basi dadaangu Tunakupenda Sana na wenzako 6
  • @
    @adballahaji84314 years ago Da Dada halima nakukubali ukiwa chadema achana na MA ccm wachawi
  • @
    @johnsahaguni25834 years ago Hongereni kwa uamuzi mzuri wa kukata rufaa. Rudini chamani
  • @
    @joehjulius45774 years ago Halima tumeandaa mpango wa kukupoteza kwenye siasa ndio tunajuwa wew n njaa na ccm tunatumia mwanya huo kazi nzur kesho ile pesa tunakupa umalizie kuuwa chama hiko🙏
  • @
    @evanceraurian58424 years ago Dada chapa kazi hapa tz ni HAPA KAZI TU 2
  • @
    @ambrosefelixshayo65684 years ago Mimi ni mwana CCM maoni yangu Halima na Bulaya na Matiko ni wachangiaji wazuri kwa hoja ningeomba Chadema wasiwapoteze watu hao japo walikua wanajiingiza kwenye vurugu sikua naridhika na hill naomba Chadema wajitafakari sana ...
  • @
    @radhiambwana87874 years ago Halima Kama halima unamuachaje asiende bungeni ukimchelewesha utamkuta kashaapa. 8
  • @
    @geitaamb41524 years ago Halima tatizo si kwenda bungeni dadaang tatizo hamjafata taratibu za chama jaribu kujishisha ombeni radhi tu. 7
  • @
    @blandinamwarabu50254 years ago Wakati mnakata rufaa posho mnavuta. Ila Mdee na Mbowe Mungu anawaona.
  • @
    @salomemahenge67584 years ago Umeutesa sana mioyo ya wanachadema sijui utatuambia nini iri turudi kukuamini
  • @
    @cmcnews33754 years ago Unajibu kihuni sana dada, jibu kisheria kulingana na katiba sio kihuni namnahiyo pasipo hata vifungu vya katiba.
  • @
    @kennethngoleka5174 years ago Chapeni kazi Dada zangu mimi najuwa wao wamejichanganya AKINA Mama nyie mpo vizuri 10
  • @
    @lawrencemartin71164 years ago Tulikupenda sana na tukakuamini sana ila kwa sasa umetutoka yaan umeharibu kila kitu tunajua njia mliyoambiwa ni kukimbilia mahakamani kwa sababu uko ndiko walipo waliowatuma lkn tambua chadema kitabaki kuwa chama imara 1
  • @
    @fabiolapanga86804 years ago We halima unatutania kwa namna ambayo hatujawahi kufikiria! 8
  • @
    @amanimwenda14604 years ago Mh Mdee kwahiyo CHADEMA kwako sasa hivi ni Mtoto? 10
  • @
    @dennischeyo13024 years ago Mbowe ni beberu aliekubuu maana hataki kuachia madaraka ya uwenyekiti
    Nyie pigeni kazi wanangu
    5
  • @
    @mwalimujames23454 years ago Halima Mdee na wenzake ni mfano bora wa wanasiasa wanaorudisha nyuma siasa za vyama vingi hapa nchini. Alipokuwa bungeni alikuwa anatukana, anashiriki migomo anabariki fujo. Yaani siasa za vyama vingi zimekuwa kichekesho na kitu cha ovyo kwa ajili yao. Lakini siasa za vyama vingi wala hazipo hivyo wala hazipaswi kuwa hivyo ... 1
  • @
    @sarahwalles26074 years ago Check nyuso zao kwanza zimejaa usaliti mtupu tu 3
  • @
    @jacobletema36814 years ago Jamani niliwaamini sana Halima Mdee na Ester Matiko!!!
  • @
    @omaryrashid78034 years ago Njooni ccm huku kuna haki, njooni ccm plz 1
  • @
    @binrashid16384 years ago Kama umegunduwa kuwa media ni nyingi kuliko wanahojio nipe ishara ya vidole 2 ju. 2
  • @
    @claudinemaxime9364 years ago Mbowe amejifanya Mungu mtu. Avuliwe uenyekiti. Amechoka:-) Hongera Halima! 3
  • @
    @tsaonethapelo63734 years ago Hawa jamaa wasanii sana uhuni mwingi chadema saccos kwa wingi 2
  • @
    @yusuphyunusi68654 years ago Hawa wamama wanavaaje nguo za chama cdm badala ya kuvaa mavazi ya ccm? Wavae tu maana akina silinde walianza hivyohivyo 1
  • @
    @cosmaskulaya52974 years ago Kabaki Mwamba mmoja tuu na masimba kadhaa. Honest to his death na History will be up on him.
  • @
    @gracejaphet1704 years ago Kwani hii ni muvi au? Mbona sijaelewa kuna nini?
  • @
    @mwenyemvuamsafiri81504 years ago Kwa sasa wewe, umepoteza dira na hata muelekeo huna. Kilichopo kwenye nafsi yoko ni usaliti na upumbavu ulio kuingia kwa tamaa ya njaa zako tu. 8
  • @
    @salamuseif86914 years ago Dada Halima mbona mbinu zako ni kama za cuf unataka kupasua chadema 1
  • @
    @bensonashery23604 years ago Nenda bungeni mama ukaendelee kuunguluma
  • @
    @seifmmaka59614 years ago Ni sawa ila ucje tna kwenye jimbo Letu na ujinga wenu
  • @
    @al-aminlwano68884 years ago Mm ni shabiki mkubwa wa ccm nilikua siwapendi lakini kuanzia Leo nawapenda sana NAZINGATIA DHAMIRA YENU YA DHATI HONGERENI SANA BIGUP 2