المدة الزمنية 13:17

NAMNA YA KUONA VITU KATIKA ULIMWENGU WA ROHO

بواسطة Emes Tv
23 551 مشاهدة
0
282
تم نشره في 2019/05/15

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 46
  • @
    @festonkandonga85منذ 5 سنوات Nayapenda sana madini haya hakika yanatoa hatua moja kwenda nyingine 4
  • @
    @estaraberd1245منذ 2 سنوات Ameen mtumishi wa Mungu Ubarikiwe sana
  • @
    @nyotasandra1176منذ 4 سنوات Iyo kweli mtumishi wa Mungu,muda mwengine hatuelewi maono tunayopewa!ubarikiw sana
  • @
    @Neemakilimbaمنذ 2 سنوات Eee Mungu nisaidie kumwezesha Mtu wa ndani Nope nguvu ya Roho Mtakatifu
  • @
    @davidtry4neمنذ 3 سنوات Asante sana mtumishi wa Mungu. Nna swali kidogo na linanitayiza sana.mtu anaweza kujazwa na Roho Mtakatifu bila kusema Kwa ligha mpya!!?
  • @
    @salomejacob1242منذ 2 سنوات Wewe umenielewesha sana Hawa feke ndo wanaotuchanganya
  • @
    @Word_DJ.منذ 3 سنوات Kuna utofauti gani na kipaumbele kiasi gani Kwa Mungu kati ya anayeomba kwa lugha na anayeomba kwa lugha ya kawaida wote katika kumaanisha.
  • @
    @dawhiteschola8847منذ 2 سنوات Mchungaji umenena vyema ila na swali hapo kwenye unenaji WA lugha neno lina sema tutapewa lugha mpya je mbona lugha hiii roboshalala bakurya imekuwa. Kama fashion lugha ni ilele watu wote wananena moja
  • @
    @nyotasandra1176منذ 4 سنوات Tunapo ulizia,ata wa chungaji wetu,hawatuambii chochote,ao wanakwambia eti si vya kwako
  • @
    @mwl.deogratiaschristopher1126منذ 5 سنوات Good.!
    Sasa mbona somo hata halijaanza alafu ndio imeisha..?
    1
  • @
    @lauraingosi1428منذ 4 سنوات nimekubaliana na wewe kabisa kwenye ile sehemu ya kunena kwa roho ulipokua ukielezea kuhusu tukio la mwili kutetemeka, kuna kunena kwa lugha ya kiroho, lugha ya roho mtakatifu (lugha mpya) 2