المدة الزمنية 2:10

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Samia Suluhu Hassan amesisitiza kwa kuwakumbusha Wajumbe

45 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/06/30

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Samia Suluhu Hassan amesisitiza kwa kuwakumbusha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa na Viongozi wa Chama ngazi zote nchini wana jukumu na wajibu wa kusimamia na Kukagua miradi ya maendeleo katika kuhakikisha Ilani ya uchaguzi ya CCM 2020 -2025 inatekelezwa kwa mafanikio makubwa. #ChamaImara #KaziIendelee

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0