Hii ni taarifa muhimu kwako ndugu mteja wetu wa Tigo. Fahamu kanuni za usajili wa laini ya simu zaidi ya moja. Washirikishe ndugu jamaa na marafiki kufuata mwongozo huu.
Wasiliana na huduma kwa Wateja kwa taarifa zaidi.
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على TAARIFA MUHIMU: Umiliki na usajili wa laini ya Tigo zaidi ya moja.: