المدة الزمنية 5:36

MATAIFA YOTE YA ULIMWENGU | D. Nducha | Wimbo wa Katikati

5 474 مشاهدة
0
79
تم نشره في 2021/01/03

Wimbo wa Katikati Epifania Zaburi 72 Mtunzi: Derick Nducha Waimbaji ni wanakwaya wa St Paul's Students Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi Karibu kutazama wimbo wa katikati kila wiki pamoja na nyimbo nyingine za kwaya katoliki Kenya na Tanzania katika channel hii Please like, share and subscribe lest you miss out our next uploads. MANENO YA WIMBO Kiitikio Mataifa yote ya ulimwengu, yatakusujudia Ee Bwana Mashairi 1. Ee Mungu mpe mfalme hukumu zako, na mwana wa mfalme haki zako, atawaamua watu kwa haki, na watu walioonewa kwa hukumu. 2. Siku zake mtu mwenye haki atasitawi, na wingi wa amani hata mwezi utakapokoma, na awe na enzi toka bahari hata bahari, toka mto hata miisho ya dunia. 3. Wafalme waTarshishi na visiwa walete kodi, Wafalme wa Sheba na Seba watoe vipawa, naam, wafalme wote na wamsujudie, mataifa yote wamsujudie. 4.Kwa maana atamwokoa mhitaji aliapo, na mtu aliyeonewa iwapo hana msaidizi. Atamhurumia aliye dhaifu na maskini, na nafsi za waitaji ataziokoa.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 9