Kufuatia uwepo wa malalamiko ya kuuzwa bidhaa zisizokidhi viwango, wizi na utapeli ukidaiwa kufanywa na wafanyabiashara kwa wanunuzi, Serikali inaandaa rejista ya wafanyabishara wanaouza mazao nje ya nchi ili kuwa na taarifa sahihi za kila mmoja na anachouza.