Kipindi maalumu kilichowashirkisha Mkurugenzi Mkuu Nd. Salim Mussa Omar na Meneja Mkuu, Nd. Rashid Moh'd Rashid wa Green Light Foundation kilichorushwa mubashara katika station ya Zanzibar Cable TV Zanzibar siku ya 18 Novemba 2019
Mada kuu ilikuwa ni Mafanikio ya Green Light Foundation pamoja na Mikakati yake
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على MAHOJIANO MAALUMU NA UONGOZI WA GLF: