Mahitaji :
Vermicelli - 1 pkt/180gms
Samli - Kjk 1 1/2 Kikubwa
Sukari - Vijiko 2 1/2 mpka 3
Hiliki ya unga robo kijiko
Zabibu kavu - kiasi
Baadhi ya viungo vengine kama
utapenda ni - vijiti vya mdalasini, lozi na Vanilla
@ashuramutwe3921منذ 5 سنواتMashaallah! Tambi za kukaanga ni tamu sana! 2
@
@zainabawadhabdallah3822منذ 6 سنواتAsalam aleikum ukhti.Mimi ni mmoja katika fans wako Naomba utuletee pishi la kisra kutumia unga wa mchele . Allah akuhifadhi kwa kazi yako njema unayo tuletea 4
@
@khadijambuta4360منذ 6 سنواتshukrani ddaty leo in shaallah nitapika
@
@aliceuwera5984منذ 4 سنواتMansha Allah nafurahiya sana Allah akupe kila lakheri sister
@
@hailinhelen4675منذ 4 سنواتmmhh tamu asante saana kwa mafunzo bora
@
@Crabtree1844منذ 6 سنواتNice! Hivi sasa naja kwako, ukisikia nabisha mlangu ufungue dada! :) 2
@
@dorisandfarookمنذ 7 سنواتWow! napenda sana tambi za kukaaga, asante. 1
@emanuelissaya1079منذ 7 سنواتnimependa hizo tambi wkend hii ntajaribu kutengeneza 1
@
@ummukulthumhafidh6599منذ 7 سنواتassalamu alaykum.shukraan sannnaa and we love u sooo much sis may ALLAH protect u and ur lovelly family aamin
@
@mwanaishambili241منذ 7 سنواتkaribu ma naona ulikuwa wafunga cta na kupumzika kidongo shukran kwa pishi la leo
@
@asiaissa5431منذ 6 سنواتHabari my dada Aroma nimeangalia sijaona hivyo viungo vya mchuzi wa nyama ya ngombe
@
@verynicemkaro7116منذ 7 سنواتJe waweza tumia tambi za kawaida zile nene
@
@muhmahahmshaibrahim3109منذ 7 سنواتassalam alaykum tumekumiss..but tunashukuru umerudi salama..asante kwa tambi kwani ni chakula kitamu na fast..nazipenda asante 1
@
@fatihiasalim8753منذ 4 سنواتNzuri sanaaa hizi Tambi,ila Kama una maziwa Ni vizuri zaidi ukiweka maziwa badala ya maji ,pia zinakuwa na ladha muhimu ziive zisitote,shukran hbbty
@
@salhamm742منذ 7 سنواتAsant sana Mung akubarik tuletee tena keki disain nyengin 3
@
@ashaahmed1353منذ 7 سنواتShukraan for reminding me about tambi.Sijafanya for long tym.Leo friday will make it Inshaallah. 1
@
@aeshaha8770منذ 7 سنواتsawa maa naulizaje kwa fb pia unaweka video mana uku saudia kuna wi-fi za bure tatizo maa nikirudi nyumban nitakupataje kiuraisi
@
@BillysFamilyمنذ 7 سنواتnitajaribu kupika tambi za kukaanga siku moja. Jee nimuhimu kutumia samli mana sina . 1
@
@ansilaburra7528منذ 7 سنواتduh! vyakula vyako vitamu dada, what time is the lunch? I would like to join you 3
@
@maralsaally4253منذ 4 سنواتAssalam alykum badili ya maji naeza tia nazi? au maziwa?
@
@fatumabadi8منذ 7 سنواتshukran sana naomba kujua kupika chauro 1
@
@husnanoor1368منذ 7 سنواتJe naweza tumia butter kama samli sina @Aroma
@
@haronelisha4799منذ 7 سنواتje naweza hata kupikia tambi za saintalucia?
@
@asabraabdulah1130منذ 7 سنواتassalam alaykum. habibty baadala ya maji huwezi ukaeka tuwi la nazi? 1
@
@ramlamohammed1934منذ 4 سنواتAssalam Alaykum mm nataka kujua kupika faluda
@
@Juhie_منذ 5 سنواتTambi za kolson’s pasta unaweza pikia vileja vya tambi??
@
@mariammust8210منذ 7 سنواتkama sina samli naweza tumia mafuta ya kawaida?
@
@haronelisha4799منذ 7 سنواتni za wheat flour,semolina na durum.izo ndo ingedients zake
@
@swabriali4583منذ 4 سنواتKwa utamu huu kwa nini nisiwe kibogoyo kwa kupenda sukari.
@
@nahidabanuadam4455منذ 6 سنواتRecipe ya tambi za znz napikwa na nazi
مقاطع الفيديو ذات الصلة على TAMBI ZA KUKAANGA - KISWAHILI: